Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Una struggle kwa SU kisha unasema hawa viumbe hatari?
Wkt Liverpool katoka kwenye crisis,Man C bila KDB ndiyo wanaingia kwenye crisis
Hii perfomance huwezi pata sare Anfield wala kwa Spurs wala kwa LC
Liverpool tumeisha tetea ubingwa wetu
Hiki kiwango na Sheffied huwezi kuwa bingwa wa EPL!
No KDB no creativity
Nakudunda Anfield kisha inayo fuata na Spurs na na baadae na LC
Hamna team hapo
Ahahaaaaaah.Sina Mane
Sina VVD
Sina Gomez
Sina Matip
Sina Fabihno
Sina Jota
Bado nashinda 3 kwa inform WHU
Ww hauna tu KDB mechi na trash SU umecheza kama Bata na bado una amini utampokonya Liverpool ubingwa?
Kweli maajabu hayataisha duniani
Liverpool tunaenda tetea ubingwa wetu
hiyo city itaanza kupoteana mwezi wa tatu. Tamaa ya UCL itawauaEPL TOP 4 - 20/21
1. Manchester City
2. ___________________
3. ___________________
4. ___________________
Huyu jamaa sio mchezo
[emoji23]hiyo city itaanza kupoteana mwezi wa tatu. Tamaa ya UCL itawaua