The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Next Everton

Sijaona ugumu wa Everton ,pressing yetu ipo systematic ,utafikili unacheza game ...

Mhimu gundo asiwe amepata injury ,ndio goal machine yetu kwa sasa ..

Sijajua aguero atakuja vip baada ya covid ,na kdb baada ya injury ,but Bernardo ndo machine nyingine hatar ,jamaaa anazungusha watu pale kati daaa....

Stering yupo gud ,madhaifu ya kutoshoot mapema ndan ya box mpaka abaki na goli nadhan hata pep anaona ,......
 
Sijajua aguero atakuja vip baada ya covid ,na kdb baada ya injury ,but Bernardo no machine nyingine hatar ,jamaaa anazungusha watu pale kati daaa....

Stering yupo gud ,madhaifu ya kutoshoot mapema ndan ya box mpaka abaki na goli nadhan hata pep anaona ,......

Yaah Kwasasa tuko on fire mzee.. Hatoki mtu, ushindi wao sare, na kama waliruhusu bao nne kwa spurs hawa, sidhani kama watazuia kwetu.

Anyway ni game ambayo Ruben awepo maana leo mwanzoni mwanzoni tulishake kidogo.

Sterling aache uRashfold[emoji23][emoji23] but all in all leo kamecheza vzr sana
 
Sterling anadribble mpaka kero tatizo hana maamuzi ...

Akikutana na defender mnyumbulifu basi inakuwa ngumu kwake kupenya..

Dribbling za foden ,one touch two touch then unaachia shoot golin ndio positive ...

Kuna muda stering anacheza na mpira ndan ya box ,bila maamuzi ,labda pep kampa hizo tactics ...yaan hakuna kushoot kwa kubahatisha hakikisha ni clear pass
 
Next Everton

Sijaona ugumu wa Everton ,pressing yetu ipo systematic ,utafikili unacheza game ...

Mhimu gundo asiwe amepata injury ,ndio goal machine yetu kwa sasa ..

Sijajua aguero atakuja vip baada ya covid ,na kdb baada ya injury ,but Bernardo ndo machine nyingine hatar ,jamaaa anazungusha watu pale kati daaa....

Stering yupo gud ,madhaifu ya kutoshoot mapema ndan ya box mpaka abaki na goli nadhan hata pep anaona ,......
Sure
 
Yani unyama wote huo mnafanya na KDB hayupo [emoji28][emoji28][emoji28]dah
 
City, acha mfaidi matunda ya mipango na uwekezaji mliyofanya.

Pongezi nyingi kwenu wananchi wa jiji la Manjesta. Kwangu mimi project yenu na Pep ni miongoni mwa project za kuwekewa mfano kwenye zama hizi za soka la kisasa.

Nadhani hata kocha wangu wa zamani SAF huko aliko atakuwa ameanza kuufuta taratibu ule usemi wake kwenu kuwa "pesa haiwezi kununua mafanikio".

Zama hizi bila pesa hautafanikiwa. Pambana upate pesa upate timu nzuri.

Waarabu wenu walipompa Pep kazi mwaka 2016 waliamua pia kumpa kila atakacho ndani ya misimu miwili tu. Hii ndiyo sababu mlianza kupata mavuno baada ya msimu mmoja tu tofauti na jirani zenu ambao huenda bila akili za Jose huenda wasingepata hata vile vikombe viwili kutokana na uwekezaji hafifu waliofanya, ambao ulifanya project yao kupoteza mwelekeo.

Ni muhimu timu zingine kama Liverpool na Spurs yangu kujifunza kuwa ili uwe na mafanikio endelevu sharti uwe na mambo mawili makubwa kikosini kwako;

1. Squad quality.

Nunua wachezaji wenye ubora miguuni na kichwani. Kuna wale Jose haters watasema kuwa jana City waling'ara kwa sababu ya mpira "wa kizamani" wa mourinho. Ila ukweli ni kwamba huwezi cheza City kama hujui. Mfano, huku Mahrez kule Lamela. Huku Moura kule B. Silva. Hapa Gundogan pale Sissoko!

Hapo kuna mmoja atatwaa epl 3 ndani ya misimu 5 na kuna mwingine atahitaji kocha genius ili atwae angalau FA/Europa.

2. Squad depth.

Ukiwa na kikosi bora cha kwanza kama Liverpool unaweza pata mafanikio ya hapa na pale. Bali ili upate mafanikio endelevu utahitaji kikosi kipana. Yaani kwamba Man City B inaweza kutwaa ubingwa kama alivyosema Jose. Lakini Liverpool B inaweza kushuka daraja.

Kinachoitafuna Liverpool ni ufinyu wa kikosi. Akiumia Van Dijk hakuna mbadala. Akiflop Sadio Mane timu haiendi. Asipofunga Mo Salah timu inakwama. Wijnaldum anapokuwa na issue ya mkataba akapoteza kiwango midfield inaenda likizo.

Sijaizungumzia timu yangu kwa kuwa haina vyote viwili. Najua Levy ni genius na kunako summer ata-play genius tena.

Samahani kwa bandiko refu kama hili. Namaliza kwa kuwapongeza kutwaa ubingwa epl 2020/21. Acha mvune mlichopanda.
 
Mkuu EPL run bado inaendelea ...

Pep kitendo cha kuwapa nafasi wachezaji na kuwaamini kimemfanya kuwa na kikosi kipana cha ziada ,Leo hata aguero itabidi ajitume kurudi IX ,la sivyo nafasi yake itaendelea kuchukuliwa na pengo lake halitaonekana ...

Aisee ,stone ,laporte ,zincheko hawa wamegain confidence saizii,nadhan muda aliowapa pep na kuwavumilia kumewasaidia ,msimu uliopita baada ya kampany kuondoka stone ,laporte wote walikuwepo lakin hawakuwa on fire kama saizi ,sijajua labda ni kwa vile frenandihno alirudi CB swala ambalo combination yao ilipwaya na mbio za ubingwa zikawa zimeishia hapo ....

Bernado -Rodrigo- gundogun

Hizo ni mido zinazoibeba city kwa sasa ,zinawafanya kina stering ,jesus,na mahrez wasitumie nguvu kubwa Kule mbele na kufunga magoli mepesi ...nasema mepesi kwa sababu timu inarelax ,tunadominate mpaka unashangaa goli laini linafungwa ....

Ukitaka kujua mpira sio rahisi angalia Chelsea wanavotafuta goli .....hahaaaa
 
Aisee hii February tukipiga hizi timu ,basi nitaamin kabisa EPL inatua etihadi

Arsenal

Everton

Lecister city

Man utd(hawa game yao ndio itakuwa imeamua )

Westham

Chelsea

Pep ahakikishe hapo anatoka na point zote
 
Mpaka sasa natamani kumuona aguero anarudi kwenye form yake ya zamani ....

Gundogan injury sijajua kama next game against Everton hatacheza...

Pep anamwamin sana stering kwani anaforce mpaka ndani ya box ,tatizo maamuzi daaa ndio anaboa ....
 
Penalty

Inaonekana hatuna confidence kabisa kwenye swala la kushoot penalty ,daa hili linanisikitisha ,inamaana pep halioni....

Swala la ederson kutaka kuwa mpiga penalty ni high risk tunatake ......

Rodrigo Jana kapiga penalty sijajua pep ndio kamtuma au laaah ....

ila nataman kuona foden au bernado Silva wakipiga penalty ..
 
Hii timu inazidiwa replies na uzi wa Simba na wa Yanga ila ndiyo bingwa mtarajiwa
 
Swala la Jesus kutoka na kuingia mahrez aisee inaonesha namna gan pep hahitaji striker kufunga goli ...

False 9 technique naona pep inampa matunda ,Leo mahrez anacheza position mabayo its very hard kumnote ....

Foden-jesus -stering ...

Mahrez-aguero -stering..

Kuna muda pep anaamua kutumia

Mahrez -KDB-stering ,hapa ni baada ya (Jesus na aguero kutokuwepo) ..kama front line aisee

Sasa naona mahrez anabadilishwa taratibu yaan..

FODEN-MAHREZ-STERING
 
Huu uzi mbona upo kimya toka 2009 duu wakati Man city jana kafanya yake aisee tuufufue wazee
 
Aisee hii February tukipiga hizi timu ,basi nitaamin kabisa EPL inatua etihadi

Arsenal

Everton

Lecister city

Man utd(hawa game yao ndio itakuwa imeamua )

Westham

Chelsea

Pep ahakikishe hapo anatoka na point zote
Hapo tukishinda ata mechi tatu tyu tupo mbali mno.
Ila sasa pep atataka ashinde zote
 
Mpaka sasa natamani kumuona aguero anarudi kwenye form yake ya zamani ....

Gundogan injury sijajua kama next game against Everton hatacheza...

Pep anamwamin sana stering kwani anaforce mpaka ndani ya box ,tatizo maamuzi daaa ndio anaboa ....
Sidhan kama ni majeruhi makubw kiasi hiko
 
Back
Top Bottom