Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Next Everton
Sijaona ugumu wa Everton ,pressing yetu ipo systematic ,utafikili unacheza game ...
Mhimu gundo asiwe amepata injury ,ndio goal machine yetu kwa sasa ..
Sijajua aguero atakuja vip baada ya covid ,na kdb baada ya injury ,but Bernardo no machine nyingine hatar ,jamaaa anazungusha watu pale kati daaa....
Stering yupo gud ,madhaifu ya kutoshoot mapema ndan ya box mpaka abaki na goli nadhan hata pep anaona ,......
Sterling anadribble mpaka kero tatizo hana maamuzi ...Yaah Kwasasa tuko on fire mzee.. Hatoki mtu, ushindi wao sare, na kama waliruhusu bao nne kwa spurs hawa, sidhani kama watazuia kwetu.
Anyway ni game ambayo Ruben awepo maana leo mwanzoni mwanzoni tulishake kidogo.
Sterling aache uRashfold[emoji23][emoji23] but all in all leo kamecheza vzr sana
SureNext Everton
Sijaona ugumu wa Everton ,pressing yetu ipo systematic ,utafikili unacheza game ...
Mhimu gundo asiwe amepata injury ,ndio goal machine yetu kwa sasa ..
Sijajua aguero atakuja vip baada ya covid ,na kdb baada ya injury ,but Bernardo ndo machine nyingine hatar ,jamaaa anazungusha watu pale kati daaa....
Stering yupo gud ,madhaifu ya kutoshoot mapema ndan ya box mpaka abaki na goli nadhan hata pep anaona ,......
Yani unyama wote huo mnafanya na KDB hayupo [emoji28][emoji28][emoji28]dahNext Everton
Sijaona ugumu wa Everton ,pressing yetu ipo systematic ,utafikili unacheza game ...
Mhimu gundo asiwe amepata injury ,ndio goal machine yetu kwa sasa ..
Sijajua aguero atakuja vip baada ya covid ,na kdb baada ya injury ,but Bernardo ndo machine nyingine hatar ,jamaaa anazungusha watu pale kati daaa....
Stering yupo gud ,madhaifu ya kutoshoot mapema ndan ya box mpaka abaki na goli nadhan hata pep anaona ,......
Atapitia wapi labda apae juu.Dias na stone inabidi wamchunge sana son ,mipira ya penetration ndio inawasidia spurs ,
son anajua kujipostion ili atelezeshewe mpira ,so inabidi tuwe makini
Frenandinho hana nafasi tena.Frenandiho hii game inamhitaji sanaaa...View attachment 1700843View attachment 1700844
Uo ukuta mtapitia wapi labda mpae juu.Sisi Spurs leo tunampiga mtu 3 moja[emoji41]
Hatutaki mavi ya mtu mzima haidi kutoa uko kudogo tupaone tu.Pumbavu zenu nyie ..nitakunya hadharani mkichukua ubingwa ..ubingwa hamchukui..
Mkuu EPL run bado inaendelea ...City, acha mfaidi matunda ya mipango na uwekezaji mliyofanya.
Pongezi nyingi kwenu wananchi wa jiji la Manjesta. Kwangu mimi project yenu na Pep ni miongoni mwa project za kuwekewa mfano kwenye zama hizi za soka la kisasa.
Nadhani hata kocha wangu wa zamani SAF huko aliko atakuwa ameanza kuufuta taratibu ule usemi wake kwenu kuwa "pesa haiwezi kununua mafanikio".
Zama hizi bila pesa hautafanikiwa. Pambana upate pesa upate timu nzuri.
Waarabu wenu walipompa Pep kazi mwaka 2016 waliamua pia kumpa kila atakacho ndani ya misimu miwili tu. Hii ndiyo sababu mlianza kupata mavuno baada ya msimu mmoja tu tofauti na jirani zenu ambao huenda bila akili za Jose huenda wasingepata hata vile vikombe viwili kutokana na uwekezaji hafifu waliofanya, ambao ulifanya project yao kupoteza mwelekeo.
Ni muhimu timu zingine kama Liverpool na Spurs yangu kujifunza kuwa ili uwe na mafanikio endelevu sharti uwe na mambo mawili makubwa kikosini kwako;
1. Squad quality.
Nunua wachezaji wenye ubora miguuni na kichwani. Kuna wale Jose haters watasema kuwa jana City waling'ara kwa sababu ya mpira "wa kizamani" wa mourinho. Ila ukweli ni kwamba huwezi cheza City kama hujui. Mfano, huku Mahrez kule Lamela. Huku Moura kule B. Silva. Hapa Gundogan pale Sissoko!
Hapo kuna mmoja atatwaa epl 3 ndani ya misimu 5 na kuna mwingine atahitaji kocha genius ili atwae angalau FA/Europa.
2. Squad depth.
Ukiwa na kikosi bora cha kwanza kama Liverpool unaweza pata mafanikio ya hapa na pale. Bali ili upate mafanikio endelevu utahitaji kikosi kipana. Yaani kwamba Man City B inaweza kutwaa ubingwa kama alivyosema Jose. Lakini Liverpool B inaweza kushuka daraja.
Kinachoitafuna Liverpool ni ufinyu wa kikosi. Akiumia Van Dijk hakuna mbadala. Akiflop Sadio Mane timu haiendi. Asipofunga Mo Salah timu inakwama. Wijnaldum anapokuwa na issue ya mkataba akapoteza kiwango midfield inaenda likizo.
Sijaizungumzia timu yangu kwa kuwa haina vyote viwili. Najua Levy ni genius na kunako summer ata-play genius tena.
Samahani kwa bandiko refu kama hili. Namaliza kwa kuwapongeza kutwaa ubingwa epl 2020/21. Acha mvune mlichopanda.
sisi ni silent killer...Huu uzi mbona upo kimya toka 2009 duu wakati Man city jana kafanya yake aisee tuufufue wazee
Hapo tukishinda ata mechi tatu tyu tupo mbali mno.Aisee hii February tukipiga hizi timu ,basi nitaamin kabisa EPL inatua etihadi
Arsenal
Everton
Lecister city
Man utd(hawa game yao ndio itakuwa imeamua )
Westham
Chelsea
Pep ahakikishe hapo anatoka na point zote
Sidhan kama ni majeruhi makubw kiasi hikoMpaka sasa natamani kumuona aguero anarudi kwenye form yake ya zamani ....
Gundogan injury sijajua kama next game against Everton hatacheza...
Pep anamwamin sana stering kwani anaforce mpaka ndani ya box ,tatizo maamuzi daaa ndio anaboa ....