Kulikuwa na bango moja uwanjani likiwa na Picha Mancini akipiga kelele huku Fergie, Alex akiwa ameinama ameshika kichwani. Bango hilo lilisomeka hivi "Noisy Neigbhours are getting Louder Alex". Bango hili limenifurahisha sana hasa baada ya kuona varangati ya Alex akimuonyesha Mancini kuwa ni Mpiga Kelele.
Ila kama Alex hatakuwa makini aisee hao majirani zake watavunja ngoma za masikio yake.
Where is Chris Foy?