The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

HT MANC 1 MANU 0 bado kuna goli nyingine mbili 🙂🙂....Naona SAF aliamua kucheza defensive sasa ni lazima abadilishe tactics katika kipindi cha pili.
 
vincentkompanygoal20120430_576x324.jpg
 
biiiiiig up mancity...chezeni vizuri kama mlivyocheza leo kwenye mechi mbili zilizosalia...!
 
Man Utd chaliiii..
Sijamuona Hart akifanya save yoyote. Sijui Ro n Co walikuwa wapi leo.
 
Kulikuwa na bango moja uwanjani likiwa na Picha Mancini akipiga kelele huku Fergie, Alex akiwa ameinama ameshika kichwani. Bango hilo lilisomeka hivi "Noisy Neigbhours are getting Louder Alex". Bango hili limenifurahisha sana hasa baada ya kuona varangati ya Alex akimuonyesha Mancini kuwa ni Mpiga Kelele.

Ila kama Alex hatakuwa makini aisee hao majirani zake watavunja ngoma za masikio yake.

Huu ndio uzuri wa kupiga kelele wakati mwingine.
 
hongera zako v kompany maana nasri aguero na tevez walikuwa wanawaonea huruma..
kila kitu tumewazidi manure harafu washinde kiurahisi..
viva la city.
city till i die!
 
article-2138260-0CB34623000005DC-935_468x442.jpg


Red mist: Liverpool winger Ryan Babel posted this picture on Twitter of Howard Webb wearing a Manchester United shirt after he awarded a penalty against Liverpool and sent off Steven Gerrard during FA Cup tie


Chacha wajomba
New Castle ndio wamepewa the poison chalice na Webb ndio huyo .... .... mtatoka weekend?



 
Back
Top Bottom