The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

#ManCity have now won π—¦π—˜π—©π—˜π—‘π—§π—˜π—˜π—‘ consecutive games in all competitions, are now π—§π—˜π—‘ π—£π—’π—œπ—‘π—§π—¦ π—–π—Ÿπ—˜π—”π—₯ at the top of the #PL table, and are π—¦π—œπ—«π—§π—˜π—˜π—‘ π—£π—’π—œπ—‘π—§π—¦ π—–π—Ÿπ—˜π—”π—₯ of the 'Champions'.
 
#ManCity have become the first team in the history of English football to win their first 10 league games in a new calendar year.
 
Kuna shabiki moja wa man utd ..

Baada ya kusawazisha HT likatoka mbele ya ukumbi kuweka smart phone kuwa man city anakufa hahaaaa ....

Mwenzie kaweka 20k ...

Nimeacha anachezea kipigo cha mbwa koko bar anataka simu yake ..
 
.mahrezii..
mancityzenscom-20210218-0001.jpg
 
Aisee naona foden anauwasha mpaka pep anashindwa namna ya kumuanzisha aguero...

Bernado ni kiumbe kingine ,anaforce ,anageuza ,analiona goli mapema....!
 
Mi sio shabiki wa The citizens ila kwa huu mwendo watatuua kwaa presha...
Naikubali sana kazi ya pep
 
Tunapoelekea naona pep hahitaji tena striker...

hata aguero atabadilika namna ya uchezaji ..!

Strong midfilder zinampa matokeo pep...!
 
Kuna shabiki moja wa man utd ..

Baada ya kusawazisha HT likatoka mbele ya ukumbi kuweka smart phone kuwa man city anakufa hahaaaa ....

Mwenzie kaweka 20k ...

Nimeacha anachezea kipigo cha mbwa koko bar anataka simu yake ..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uyo ni boya sana.
Alikuwa anafikiria city itafungwa kabisa
 
Tunapoelekea naona pep hahitaji tena striker...

hata aguero atabadilika namna ya uchezaji ..!

Strong midfilder zinampa matokeo pep...!
Na hii stail imemkubali sana ya kujaza midfielders foden na gundogan wakisogea mbel zaidi inakuwa hatari
 
Back
Top Bottom