Tumeruhusu goli la kizembe .....Clean sheet dah!! View attachment 1705081
Gundo leo angekuwepo angetupia goliKwani Gundo majeruhi ?
Nilivomuona walker nikajua utakuwa uchochoro ...Pep kazarau gameView attachment 1704994
Chelsea ni team au kusanyiko la machoko?Mlimfunga mvimba macho Spurs subiri mkutane na watabe wa ligi title contender Chelsea..#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Upo sawa kabisaWote wapo fit ,...!
But mim binafs walker na mendy nikiwaonaga nakuwa na wasiwasi nyuma pale ..
Bora laporte na zincheko wawe IX wa muda wote huku dias na stone wakiwa constant..
Sanaa.Tumeruhusu goli la kizembe .....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uyo ni boya sana.Kuna shabiki moja wa man utd ..
Baada ya kusawazisha HT likatoka mbele ya ukumbi kuweka smart phone kuwa man city anakufa hahaaaa ....
Mwenzie kaweka 20k ...
Nimeacha anachezea kipigo cha mbwa koko bar anataka simu yake ..
Angekuwa na goli zake kama 2 hivi.Gundo leo angekuwepo angetupia goli
Kama inatokaaa[emoji1787][emoji23].mahrezii..View attachment 1705094
Pep Guardiola on Bernardo Silva: "What a player. That's all I can say: what a player. Everything he does, he does incredibly well. The year we won the second #PL in a row he was unstoppable, an important player for us - and he is back!"
Na hii stail imemkubali sana ya kujaza midfielders foden na gundogan wakisogea mbel zaidi inakuwa hatariTunapoelekea naona pep hahitaji tena striker...
hata aguero atabadilika namna ya uchezaji ..!
Strong midfilder zinampa matokeo pep...!