Tuchel wa Southampton?Naona Arse8 kawabana mbavu mumeshinda moja tu ..sasa tukikutana na Tuchel ni kipigo nina uhakika hadi mwezi wa nne haupo hapo..
Tunza hili andiko..
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Daaa walker huwa anajisahau anapanda sana ,anachelewa kurudiHawa jamaa wamenifurahisha sana.
Hivi nadhan ndivyo itavyokuwa.
Gundogan anapanda juu kwenye box
Cancelo anaingia midfield
View attachment 1710874
Kikosi tulichocheza na liverpool naona ndio kimetumikaKdb on the bench