Lionel Mess anakujaKuna mchezaji ananiumiza kichwa sana huyu sterling.
Naona siku zinavyozidi kwenda hawezi tena ku improve.
Amefika mwisho wa kuimprove.
Uwezo wake wakufanya maamuzi ndo unanipa hofu zaidi.
Amekuwa kama vile point isiyounganika na system ya pep kwa sasa.
Mipira kupotea kwake, kushindwa kupita beki wake.
Na finishing.
Sterling anapoteza stambulizi wakati akijaribu kufanya basics, sio ata useme amepoteza kam kdb akiwa anajaribu through ball.
Kweli tumreplace kun, fenrnandinho, mendy.
Lkn sehem itayoleta matunda sana ni pale kwa sterling.
Sterling sioni cha ziada zaidi ya kuforce kuingia kwenye box kutafuta penalty ..Kuna mchezaji ananiumiza kichwa sana huyu sterling.
Naona siku zinavyozidi kwenda hawezi tena ku improve.
Amefika mwisho wa kuimprove.
Uwezo wake wakufanya maamuzi ndo unanipa hofu zaidi.
Amekuwa kama vile point isiyounganika na system ya pep kwa sasa.
Mipira kupotea kwake, kushindwa kupita beki wake.
Na finishing.
Sterling anapoteza stambulizi wakati akijaribu kufanya basics, sio ata useme amepoteza kam kdb akiwa anajaribu through ball.
Kweli tumreplace kun, fenrnandinho, mendy.
Lkn sehem itayoleta matunda sana ni pale kwa sterling.
Nakumbuka ila leo kazi wanayoGame ya mwisho tulidraw na westham kwa uzembe Wa beki yetu Antonio akafunga goli mwanzoni kabisa...
Foden alirudisha kipindi cha Pili ,...
Ni match ambayo sterling sitamsahau alikosa nafasi nyingi sana za wazi ,tena dakika za mwishoo ....
Game ikaisha 1-1...
Saizi inatakiwa hawa wagonga nyundo kuwamaliza kipind cha kwanza tu ...
View attachment 1713085
Naona leo hajaanzaSterling sioni cha ziada zaidi ya kuforce kuingia kwenye box kutafuta penalty ..
Akikutana na beki machachari huwa anahama na upande ....
Mbaya zaidi anapoteza mipira easy ,anapoza mashambulizi ....
Mwisho kabisa ,Mungu tu ndie anayejua kwanini Jesus alikosa like goli uefa na BM ..
Very clear chance anapoteza daaa.....
..
Money is everything in football[emoji2424]Pep Guardiola: "Because we were not there in the last 30/40 years with elite clubs, people still think 'what are we doing here'? To be there, you have to spend. When Manchester United won, won, and won it was because they spent more money than others. FC Barcelona and Real Madrid C.F. was the same.. "
"It is like this, but I don't feel we are much different than these clubs in these terms. But we have to accept it.. "