goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Kuna mchezaji ananiumiza kichwa sana huyu sterling.
Naona siku zinavyozidi kwenda hawezi tena ku improve.
Amefika mwisho wa kuimprove.
Uwezo wake wakufanya maamuzi ndo unanipa hofu zaidi.
Amekuwa kama vile point isiyounganika na system ya pep kwa sasa.
Mipira kupotea kwake, kushindwa kupita beki wake.
Na finishing.
Sterling anapoteza stambulizi wakati akijaribu kufanya basics, sio ata useme amepoteza kam kdb akiwa anajaribu through ball.
Kweli tumreplace kun, fenrnandinho, mendy.
Lkn sehem itayoleta matunda sana ni pale kwa sterling.