Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Mkuu tukimpiga utd jumapili basi EPL itabidi watukabidhi mapema ..Hivi bado kuna watu wana matumaini ya ubingwa EPL.
Hiyo gape ya point 10plus. Timu gani inaweza fidia
Nitakupiga na kikosi chako.Kikosi A
Ederson
Cancelo -dias -stone -zincheko
Bernardo -KDB -gundo
Mahrezi -jesus- sterling
Kikosi B ,hiki kinaweza kucheza hata na arsenal au Chelsea tukampiga goli za kutosha
Steffen
Walker -Nathan ake-laporte - Mendy
Rodrigo -frenandihno -Thomas Doyle
Torres -arguero -foden
Doyle ,huyu dogo katoka city academy ,anakiwasha aisee , pep aanze kumpa dakika ,game ya spurs aliingia niliona movement zake yuko gud
Kombe tunabeba sisi ..mzigo utatua LondonHivi bado kuna watu wana matumaini ya ubingwa EPL.
Hiyo gape ya point 10plus. Timu gani inaweza fidia
Wewe jamaa ni comedian mzuri sana!!!
Amini nakuambia mwezi mkuu ..hili kombe tunabeba..Wewe jamaa ni comedian mzuri sana!!!
Liverpool anapigwa na Brighton ,saton hapo anfield sijashangaa kuona hayo matokeo ..Amini nakuambia mwezi mkuu ..hili kombe tunabeba..
It's coming home..
Wewe unaweza kumpiga liverpool?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ni kweli upo sahihiMimi naamin kwa CB tulizonazo kwa sasa ,uefa kufika semi final inawezekana kabisa ,ikibidi kubeba uefa ,sioni timu ambayo ipo form uefa
Madrid imepoa
Bercelona ,ndio hiyo imeshaisha
Psg ,ya kawaida sana
Dortmund huyu tukikutana anaweza kuchezea goli nying sana
Liverpool ,tia maji tia maji japo wana nyota na uefa
Buyern tu ndio naona kwa sasa ipo on fire
Goal of a month February