The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

433
IMG_20210307_190057_993.jpg
 
Jamani chondechonde mimi kijana mpambanaji angalia familia inaniangalia mimi ..leo nikishinda hii laki sita basi nitalipa kodi ambayo itajenga madaraja, itanunua ndege kwa cash, hehehe[emoji3][emoji3] ivyo leo tuko pamoja tuhakikishe Man United anashinda maana mkeka bado unapumua kwa asilimia 97% bado mechi moja mkononi ..nimewauwa nyie tunajua hamna za kupoteza tena ..hivyo man United akishinda leo nitakuwa nimeinuka kiuchumi kwa Shilingi za kitanzania LAKI SITA NA SABINI. kama hili nyumbu likifungwa basi ndo nitazidi kulichukia kuliko kitu chochote kile maana litakuwa limenishusha kiuchumi kwa -670k Hivyo leo tuombe Mufungwe ili mimi mkeka wangu utiki. Amen

Kila la kheri MAN UNITED.
CHAMA LA WANNA
GGMU[emoji123][emoji123][emoji123]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Leo utalala na viatu mkuu

Pole sana

Shetani Leo anafia etihad
 
Point 3 mhimu Leo

Sijaona namna gan utd anawezq kutufunga ....

Kukosa point 3 kwa united basi itakuwa uzembe ...
 
HT

Man city 0-1 man united

Tumecheza vizur ila hatujapata goli

Pep inabid abadili mbinu ,united wanakamia sana ...

Hii game naona tuki draw au kufungwa kabisa...
 
Wew ulivuta bangi gan mpaka unamwamin nyumbu ...

Mkuu kuwa serious na betting ,..

Leo united hana uwezo Wa kushinda hata ole na wachezaji wake wanajua hilo..
Hahahahahaha wauni uwa tunaona mbali wewe hahahahahaha
Wewe na muhindi leo mnalala na viatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Jamani chondechonde mimi kijana mpambanaji angalia familia inaniangalia mimi ..leo nikishinda hii laki sita basi nitalipa kodi ambayo itajenga madaraja, itanunua ndege kwa cash, hehehe[emoji3][emoji3] ivyo leo tuko pamoja tuhakikishe Man United anashinda maana mkeka bado unapumua kwa asilimia 97% bado mechi moja mkononi ..nimewauwa nyie tunajua hamna za kupoteza tena ..hivyo man United akishinda leo nitakuwa nimeinuka kiuchumi kwa Shilingi za kitanzania LAKI SITA NA SABINI. kama hili nyumbu likifungwa basi ndo nitazidi kulichukia kuliko kitu chochote kile maana litakuwa limenishusha kiuchumi kwa -670k Hivyo leo tuombe Mufungwe ili mimi mkeka wangu utiki. Amen

Kila la kheri MAN UNITED.
CHAMA LA WANNA
GGMU[emoji123][emoji123][emoji123]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hure hureeee laki sita shaaaaaaa.....laiiini kama unanawaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Historia haidanganyi ..

Tukishatanguliwa kurudisha inakuwa ngumu sana..

Wachezaji hawajitumi tena pumbavu ...

Marshal kakosa chance moja kubwa ,tumshukuru ederson tu .....

Tungekuwa tushapigwa 3-0..

Hii gem kimbinu tushapigwa tayari
 
Tutalikosa kombe mkuu

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hii game tumefingwa kihalali kabisa ..

Pep mbinu zake za possession united wamezibana mapema ,...

inabid pep aanze kubadilika sasa ,system ya tiktak hadi ndani ya box sio nzur kwa sold defence haileti matunda tena ...

Sterling ,wanapoteza mipira sana ndani ya box ,simulaumu ni mbinu za kocha ,...

City tunashambulia bila madhara kabisa ,ujinga mtupu ,united wakija golin kwetu wanakuta empty space kabisa ,movement za hatari unaziona ..

Luka shaw anakimbia tok a katikat ya uwanja ,Rodrigo ,dias ,zincheko wanamsindikiza ,anampasia rashford ,rashford anamrudishia wanafunga ,ujinga mtupu .....
 
Back
Top Bottom