Leo utalala na viatu mkuuJamani chondechonde mimi kijana mpambanaji angalia familia inaniangalia mimi ..leo nikishinda hii laki sita basi nitalipa kodi ambayo itajenga madaraja, itanunua ndege kwa cash, hehehe[emoji3][emoji3] ivyo leo tuko pamoja tuhakikishe Man United anashinda maana mkeka bado unapumua kwa asilimia 97% bado mechi moja mkononi ..nimewauwa nyie tunajua hamna za kupoteza tena ..hivyo man United akishinda leo nitakuwa nimeinuka kiuchumi kwa Shilingi za kitanzania LAKI SITA NA SABINI. kama hili nyumbu likifungwa basi ndo nitazidi kulichukia kuliko kitu chochote kile maana litakuwa limenishusha kiuchumi kwa -670k Hivyo leo tuombe Mufungwe ili mimi mkeka wangu utiki. Amen
Kila la kheri MAN UNITED.
CHAMA LA WANNA
GGMU[emoji123][emoji123][emoji123]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mkuu tuoneane huruma kidogo ..hivi unajua man u akishinda leo una bonas ya tsh 2000 utapata kutoka kwangu?Leo utalala na viatu mkuu
Pole sana
Shetani Leo anafia etihad
Wew ulivuta bangi gan mpaka unamwamin nyumbu ...Mkuu tuoneane huruma kidogo ..hivi unajua man u akishinda leo una bonas ya tsh 2000 utapata kutoka kwangu?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hahahahahaha wauni uwa tunaona mbali wewe hahahahahahaWew ulivuta bangi gan mpaka unamwamin nyumbu ...
Mkuu kuwa serious na betting ,..
Leo united hana uwezo Wa kushinda hata ole na wachezaji wake wanajua hilo..
Hure hureeee laki sita shaaaaaaa.....laiiini kama unanawaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani chondechonde mimi kijana mpambanaji angalia familia inaniangalia mimi ..leo nikishinda hii laki sita basi nitalipa kodi ambayo itajenga madaraja, itanunua ndege kwa cash, hehehe[emoji3][emoji3] ivyo leo tuko pamoja tuhakikishe Man United anashinda maana mkeka bado unapumua kwa asilimia 97% bado mechi moja mkononi ..nimewauwa nyie tunajua hamna za kupoteza tena ..hivyo man United akishinda leo nitakuwa nimeinuka kiuchumi kwa Shilingi za kitanzania LAKI SITA NA SABINI. kama hili nyumbu likifungwa basi ndo nitazidi kulichukia kuliko kitu chochote kile maana litakuwa limenishusha kiuchumi kwa -670k Hivyo leo tuombe Mufungwe ili mimi mkeka wangu utiki. Amen
Kila la kheri MAN UNITED.
CHAMA LA WANNA
GGMU[emoji123][emoji123][emoji123]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Tutalikosa kombe mkuuTunacheza ovyo
Shiit
Wacha nikalale tu
Hii game tumefingwa kihalali kabisa ..