The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hii game ni mhimu sana ..

Mtu kama sterling hapatkiwa kuonekana hata kwenye beach ..

Ederson

Walker. Dias. Stone cancelo

Bernado rodrigo gundo

Mahrez kdb foden



Hiki kikosi kinawatosha kabisa dortmund ....
 
Hawa watu wamepoteza game epl na leed

Mendy

Sterling

Jesus

Torres


Aisee watulie kwanza ...


Hii game ni mhimu ...


Sitegemei pep akosee tena kwenye kikosi ...
 
Nice selection
FB_IMG_16184256988066290.jpg
 
Weraaaaaa ! Ni full shangwe hiyo ndo city na huyo ndo Folden [emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom