Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
ile chance ameyokosa sterling nimebaki nacheka tu ,...Pain killer, huku watu washafungwa visemeo tayari. R. Mahrez 55' & P.Folden 75' kwa pamoja tunasema kwaheri Dotmund.
Buyern ndio nilikuwa namhofia but kwa PSG ...
Huyo dogo ana mapepo siku hizi, binafsi simwamini hata kidogo yaani kashakuwa mjinga hujawahi ona assume chance kama hiyo kweli niyakukosa...!ile chance ameyokosa sterling nimebaki nacheka tu ,...
imeonasha namna gan hawezi kuanza kwenye game mhimu ...
Naona kichwa kinakuwanga subiri utaona mwanaume ni yupi ? na mvulana ni yupi.Jumamosi tunawapiga vibaya
HatariNje ndani hiyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Goli LA foden unaomba mkopo benk kuu ya dunia ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Psg inabidi wakae
[emoji1787][emoji1787] Yan jamaa ameisha kbsile chance ameyokosa sterling nimebaki nacheka tu ,...
imeonasha namna gan hawezi kuanza kwenye game mhimu ...
Unawaza ata kumuuza utamuuza wapiHuyo dogo ana mapepo siku hizi, binafsi simwamini hata kidogo yaani kashakuwa mjinga hujawahi ona assume chance kama hiyo kweli niyakukosa...!
Aya mapimbk Chelsea wataisomaJumamosi tunawapiga vibaya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimeiona hii