The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Leo tunaenda kui expose hii formation ya Tuchel ya beki tatu.
Ili timu ndogo ndogo zianze kuikamia.
Tunacheza same formation almost
 
Game kama hii ,analeta ujinga pumbavu sana ...

Namheshimu sana aguero ila kwa huu ujinga ,siwezi kabisa ..

We have to win this game ,game haijaisha bado analeta utoto shiit
 
Ila nakumbuka alimiss siku akafunga hat trick na hawa hawa mbwa
 
Back
Top Bottom