The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Aisee chelsea mko vizuri, kwa mpira ule na real madrid, madrid wao wenyewe walishangaa
Kuna jambo zito litatokea fainali UCL ...
Kila anayekuja mbele yetu sisi tunakula kichwa tuu, ila huu mpira unaweza shangaa man City anashinda UCL πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hatimaye nimepata uzi wenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Pole mkuu. Ndiyo mchezo ulivyo ukikamia mechi lazima unyofolewe[emoji23][emoji23][emoji23]

Tukutane Sekand Leg UEFA
 

Ungekuja kwanza na yale matabishi yako kabla ya Metch ya leo. Pia kabla ya kukutana FA nusu fainali. Ili twende sawa
 
Tangu nimeijua man City, leo ndio wamecheza vizuri kuliko mechi zote tangu enzi hizo.
 
Hodi wenye mtaa huu. Tumekuja kuwapa pole vibonde wetu. Poleni na maumivu. Kuna mtoto anaitwa Pain Killer, ni msumbufu sana mtaa wetu. Akija mumsalimie.
Alamsiki!


(2010-2021)

Hata kama mmewin, but ubora wao uko pale pale. Ubingwa wa ndani ni wetu, na Uefa ni yetu pia πŸ˜€


Jamani jamani

(2010-2021)

Hata kama mmewin, but ubora wao uko pale pale. Ubingwa wa ndani ni wetu, na Uefa ni yetu pia πŸ˜€



πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
 
Simnakikosi kipana kwani, wengine hapo walikuwa wanaanza kipindi cha nyuma

Siku ule mfumo wenu wa kucheza bila no 9 ukianza kukwama mtalilia kwa nini hajaanza jesus au kwa nini hakununua striker
 
Hahahaha Kama bao zingekubaliwa basi zingekuwa Tano ..je bado mna la kusema??

#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Ivi wewe unategemea UEFA utabeba? Yaani ata ufanyeje Thomas Tuchel anakufunga Mara ya tatu
 
Kumbe kuna muda unakuwa na akili eh?
 

Kumbe sometimes akili inakukaa sawa eee[emoji23][emoji23]. Leo umeweka ushabiki pembeni umeongea kisoka hongera[emoji23].

Gardiola amemuonea sana Lamp sasa amepata mbabe wake[emoji23][emoji23]

Natamani mechi yenu na Nyukasto pia hawabanie [emoji23][emoji23] ili akili zenu zikae sawa
 
Na mara nyingi tuliopiga one mock exam hata necta ilikuwa the same au zaidi 90% kupata tu ilikuwa asilimia 10%.
 
Hii game imempa funzo pep ..

Hata yeye anajua kabisa ,ni bora kupoteza hii game kuliko tungefungwa final ,...

Mpaka sasa wachezeji wenyewe wameshajijua kuwa mtu kama mendy ,ake ,sterling ,aguero hawana uwezo tena wa kutupa CL ,wamepoteza FA sasa EPL ..

Hizo media zilizokuwa zinamponda pep kuwa aguero ni legend ,hapewi muda CL ,nadhan watakuwa wameona wenyewe ...


Tumalize EPL kwanza


Come on city
 
Nyie matakataka mpaka sasa najiuliza mnaujasiri gani was kucheza fainal na Chelsea..

Em kaeni chini mjitafakari kwanza..
Umeona zile bao tano za Jana ambapo tatu zilikataliwa..?!

Sasa hizo tatu mutazipata Tarehe Ile 29 ..

Narudia Tena jitafakarini upya ..maana mtajua kuwa hamjui..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…