Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Sizitaki mbichi hizi"To lose this game ,its better than cl ,we learn from mistake
Sisi tumeshachukua league ,hatuna cha kupotezaAsee nyie UEFA tutawala mbele na nyuma ..maana hamna timu ya maana kabisa.
Hao Chelsea wacha waendelee kuamin sisi ni weak but watakachokutana nacho final ni motoo wa hatari
J pili Everton inatakiwa apigwe mvua ya magoli ili kikosi chetu kiwe na wining sprit mpaka CL final
Huna uhakika na top four ,kapambanie top four huko ndio uje kubattle na wanaume ..!Labda mvua ya nyeto
sasa akifungwa na Brighton anakosa niniMkuu hakuna kocha anaependa kufungwa.
Hata kama huna cha kugombania. Kila kocha anataka recodi yake iwe nzuri. Recodi nzuri inakupa cv nzuri. Kama timu ilikuwa inapasha kwann iruhusu magoli yote matatu? Tena kwa first eleven yako unayotegemea. Poor tactics