Fainali iludiweee iludiweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwana mdogo umeshindwa hata kuoa demu wa kirangi kutoka hapo matejoo ujipigie mida hii..kazi kuzurura tu Jf usiku mnene
Historia ya kushiriki UCLPep tunahitaji uefa kuliko kitu chochote ,jmoss naamini tunaenda kuweka historia ..
Our city
We jamaa ndio bob mchelsea kule twita??Watoto wa juzi tu hapa mnajaribu kuwatunishia wanaume misuli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fainali iludiweee iludiweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii picha nimeipenda big boss himself tuna bahati tumempata tajiri anayependa mpira tofauti na wenzetuView attachment 1801997
The boss Ibrahimovic
Our city ,our club
Win or lose man city in blood
Come on city
Pep kaamua kushambalulia na kuacha loop hole nyuma ,siku zote Chelsea wamekuwa wakitufunga hivo ,....!Hamna kocha mle
Dakika 90 hamna nafasi yyt ya maana imetengenezwa