The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Nyinyi vinabo kocha wenu katuvua nguo nashika simu muda huu nakuta nimequotiwa na wanawake wa chelsea kibao wajinga sana nyinyi.

Fukuzeni kocha huyo. Hii timu watu wanajipigia nyinyi mmewaachia wachukue uefa mbele yenu?

Kumbafu
 
IMG_20210530_034240.jpg
😀😀😀
 
Akili za Pep mbovu sana
Unacheza na fit again Kante humuwekei mtu maalum mbele yake ili asije then unafikiria kushinda?
Dakika 90 hamna nafasi yyt Pep katengeneza wkt Chelsea kakosa nafasi 4 za wazi kabisa
Pep is a fraud,kama unataka UCL chukua Zizu
 
Hamna kocha mle
Dakika 90 hamna nafasi yyt ya maana imetengenezwa
Pep kaamua kushambalulia na kuacha loop hole nyuma ,siku zote Chelsea wamekuwa wakitufunga hivo ,....!

Kumuacha frenandihno ilikuwa mistake ,kuanza na sterling kosa kubwa sana ,kufunguka bila mpango final ni hatari ...

Kiufupi Chelsea wamewin na sioni game ambayo pep ataweza kumfunga TT kwa style ile...

Any way wacha tusubili league ianzee ...
 
IMG_1803.jpg

Amkeni amkeni amkeni
Mnalala sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom