Wewe ni mbwa tu ,hata chelsea ichukue uefa ×20 ,au hata kombe la dunia haiwezi mfikia PSG au city financially ,and in football only money talk ...
City ni club kubwa ,ndio maana haihitaji uefa wala nini kupata saini ya wachezaji wakubwa kama haaland ,mess ,Kane Sancho ....
Sioni mafanikio ya Chelsea ,hata ikichukua uefa ,ni timu ya kawaida tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kila kitu mnabahatisha tu ,ndio maaba hata 2012 ,mlishia hilo hilo ,no super cup wala club world cup ,sababu kuchukua hayo makombe ni deep squad ,mnaishi kwa kubahatisha tu ..
Nothing new ..!