Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Leo jack anatua etihad ,come on grealish
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan mkisajili lile pipa LA intermilan sijui lukaku ,mnaenda kupigwa vipigo vikali hatari ,lukaku mnapigwa aisee situkeni...Akili hauna
Acheni mazoea ya kijinga nyie[emoji3]...au kisa kawafunga mara 3 mnaanza dua mbaya[emoji1787]Tuche atafukuzwa kabla hata ya msimu ujao kuisha maana kuboronga kutakuwa kwingi sana.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Lecister city anakula goli tano mapema kabisa ...Wale wa Leicester tujuane mapema.
Huyu jamaa ni shabiki kindaki ndaki wa Manchester United..ze cityzen View attachment 1882819
Ngoja siku mukikutana na Man United ndio utajua kua jamaa ni shushushu wetu, lazima ajifunge.Leo nimeangalia grealish alikuwa anafanya training etihad uwanja wa mazoezi lakin katika kupasiana mpira ,katoka bila kupasiwa mpira ,wala kugusa [emoji23][emoji23][emoji119]
Nimebaki nashangaa ,
Manchester City taarifa zenu tunazo msione tumekaa kimya. Penati goooooooooooooo Nigerian IheanachoLeo nimeangalia grealish alikuwa anafanya training etihad uwanja wa mazoezi lakin katika kupasiana mpira ,katoka bila kupasiwa mpira ,wala kugusa [emoji23][emoji23][emoji119]
Nimebaki nashangaa ,
Mbavu sinaNgoja siku mukikutana na Man United ndio utajua kua jamaa ni shushushu wetu, lazima ajifunge.