The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Grealish leaving the CFA just now
Official announcement coming soon [emoji2956]

Mnatamani kumkataa Grealish [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Barcelona wamewahujumu yaani wamesubiri kwanza mpigwe na Villa kisha ndio watoe taarifa ya Messi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akili hauna
Yaan mkisajili lile pipa LA intermilan sijui lukaku ,mnaenda kupigwa vipigo vikali hatari ,lukaku mnapigwa aisee situkeni...

New season with jack ..

Any fuckin club against as we are going to kill
 
Leo nimeangalia grealish alikuwa anafanya training etihad uwanja wa mazoezi lakin katika kupasiana mpira ,katoka bila kupasiwa mpira ,wala kugusa [emoji23][emoji23][emoji119]

Nimebaki nashangaa ,
 
Leo nimeangalia grealish alikuwa anafanya training etihad uwanja wa mazoezi lakin katika kupasiana mpira ,katoka bila kupasiwa mpira ,wala kugusa [emoji23][emoji23][emoji119]

Nimebaki nashangaa ,
Ngoja siku mukikutana na Man United ndio utajua kua jamaa ni shushushu wetu, lazima ajifunge.
 
Leo nimeangalia grealish alikuwa anafanya training etihad uwanja wa mazoezi lakin katika kupasiana mpira ,katoka bila kupasiwa mpira ,wala kugusa [emoji23][emoji23][emoji119]

Nimebaki nashangaa ,
Manchester City taarifa zenu tunazo msione tumekaa kimya. Penati goooooooooooooo Nigerian Iheanacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…