Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
labda kwakoTusidanganyane, Tz hakuna shabiki wa Man City
tanganga ame kutwangatwanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Spurs leo anapigikaa hakuna namna nyingine zaidi ya kipigo ...
Leo pep anaweka full quad ,lazima tuchukue point 3
ii tim n ya kifala [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]The point is ,this is epl ,kuna timu zinaanza kwa kushinda ,but mpaka January kila mtu atakuwa nafasi yake...
Were champion ,were attacking the title ,Mimi sijaona kama tumapoteza kitu kikubwa because always mbio za kuchukua ubingwa ni ndefu sana ,...
Last season tulianza vibaya ,pigwa goli tano hadi na lecister but kila mtu aliona nini kilitokea ...
We still have chance...
Genge hili hakun team hapaThe point is ,this is epl ,kuna timu zinaanza kwa kushinda ,but mpaka January kila mtu atakuwa nafasi yake...
Were champion ,were attacking the title ,Mimi sijaona kama tumapoteza kitu kikubwa because always mbio za kuchukua ubingwa ni ndefu sana ,...
Last season tulianza vibaya ,pigwa goli tano hadi na lecister but kila mtu aliona nini kilitokea ...
We still have chance...
Hivi Man Shityee nayo ni timu kubwa??
Kubeba European cups. Hivyo ninyi, PSG, arse8 ni timu ndogo bado..kipi kigezo cha timu kubwa
Ajax kashabeba CL ,lakin huwezi mlinangisha na PSG kwa sasa ...Kubeba European cups. Hivyo ninyi, PSG, arse8 ni timu ndogo bado..
Sasa huoni Ajax ameshapiga hatua moja mbele kuliko PSG, man Shityee ..yani kwenye kabati la Ajax kuna kombe la uefa wakati kabati la PSG, Man Shityee hamuna..Ajax kashabeba CL ,lakin huwezi mlinangisha na PSG kwa sasa ...
Wewe ni fala tu
Nasema hivi ," tusitishweee sisi " ....
We play good football,kufungwa kwenye game ni kawaida