The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sasa huoni Ajax ameshapiga hatua moja mbele kuliko PSG, man Shityee ..yani kwenye kabati la Ajax kuna kombe la uefa wakati kabati la PSG, Man Shityee hamuna..
Hivyo Ajax ni timu kubwa yenye uzoefu wa kutosha.
Nyie bado mpo level za Akina Everton
Hata kama ana CL 10 ...

PSG huwezi linganisha na ajax ,tatizo umekaza ubongo na kalio hilo
 
.
cityreport_-20210816-0001.jpg
 
Ze cityzen hatunaga mbwembwe za kukaa top of the table ,kwan tukikaa pale huwa tunahakikisha mpaka may ,EPL imetua etihad ...

Kwa sasa wacha hao man utd ,Chelsea ,Liverpool ,sijui spurs ,lecister city wapeane zamu ya kukaa pale juu ,huku wakisafisha kiti wanaume tukikaa pale basii garii linazimikia may ....

Kwa sasa pep anahakikisha anapata striker ..

Here we goo
 
We huna akili, panzi ww

Sometimes unawaaibisha wenzako, ipo siku watakukataa humu
 
Back
Top Bottom