The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Angalieni kesho tunamla kichwa arteta na tunajua kabisa arse8 hawezi kukubali kupoteza game tatu mfululizo ..ivyo akipigwa kesho usitegeme kuwa atapigwa na nyie wateja wetu. Tuna imani hii game tune Arteta hatotuangusha.

NB: kesho Lukaku ana bao zake tatu..!!
Arsenal ni timu mbovu ila ikikutana na Chelsea huwa inabomoa daraja la Stamford bridge....
 
Angalieni kesho tunamla kichwa arteta na tunajua kabisa arse8 hawezi kukubali kupoteza game tatu mfululizo ..ivyo akipigwa kesho usitegeme kuwa atapigwa na nyie wateja wetu. Tuna imani hii game tune Arteta hatotuangusha.

NB: kesho Lukaku ana bao zake tatu..!!

IMG_4474.png
 
Hii noma tunawaangushia nyie matakataka kwa sasa tuko pamoja na marehemu arse8 tuna hakika atafufukia kwenu nyie mbuzi huu msimu ubingwa sahauni hata qarabao hamtolamba hakika..

CFC
 
Wazee wa EPL mpo
Nyie wenzangu mnapata sana taabu,Anfield isiyo na majeruhi hamuiwezi
Tumeisha kimbia na kombe
Nani sasa hapa hayaogopi Majogoo?
 
Wazee wa EPL mpo
Nyie wenzangu mnapata sana taabu,Anfield isiyo na majeruhi hamuiwezi
Tumeisha kimbia na kombe
Nani sasa hapa hayaogopi Majogoo?
Huwezi kuchukua EPL kwa kikosi chepesi kama hicho ,...

Subili uefa ,fa ,carbao +EPL ,zianze kuunguluma ,yaan match iwe jumatano na jumamos ,ndio utajua nini maana ya kikosi kipana ....

Liverpool ni moto wa mabua tu ,January mnakuwaga mmetepeta hatariii ...
 
[emoji599] BREAKING:

Manchester City are ‘really pushing’ to sign Cristiano Ronaldo this summer. (Fabrizio Romano via Twitch) [emoji102]

mancity.fever-20210826-0001.jpg
 
Group letu limekaaa kibabe aisee ....

Wameamua kutuletea PSG tena ,kudadekiii
IMG-20210826-WA0089.jpg
 
Back
Top Bottom