The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Poleni noisy neighbours, imekula kwenu!!

Hala Real Madrid, Hala Mourinho..!

asante sana maana walikuwa wanataka droo baada ya kuona unaweza kuifunga wakajua niwachovu basi ikala kwetu ila mpira ni mchezo wa matokeo matatu so haina mbaya all is good..
 
Point tatu kwa Real Madrid heheh game ilikuwa tough had morinho kaslide hheheeh thats rhe game thanks to Real Cristiano,Benzema,Marcelo
 
asante sana maana walikuwa wanataka droo baada ya kuona unaweza kuifunga wakajua niwachovu basi ikala kwetu ila mpira ni mchezo wa matokeo matatu so haina mbaya all is good..

Kujisahau kupo mkuu kuna wakati flow ya game inafanya timu isahau lengo ni nini..And today Man City was supposed to focus on a draw(winning as a bonus) and good defending until the last whistle.But as it stands i expect the return leg to be pretty tough.
 
asante sana maana walikuwa wanataka droo baada ya kuona unaweza kuifunga wakajua niwachovu basi ikala kwetu ila mpira ni mchezo wa matokeo matatu so haina mbaya all is good..

mwanzo mbaya lakini...macho yangu yote kesho game letu!!
 
acha tu
 
co mbya kujifarij ila naomba ushirikiano wako cku ya j2 nadhan ctakuw na huruma nshavaa sura ya muuaj
 
Chezea Ronaldo weyeeee, kuna wakati nimemuonea huruma sana yaya toure.alidhani haya ni yale magem ya england anayochezeaga na kina bolton, ha ha haaaaaaa
 
Chezea Ronaldo weyeeee, kuna wakati nimemuonea huruma sana yaya toure.alidhani haya ni yale magem ya england anayochezeaga na kina bolton, ha ha haaaaaaa

watoto walidharau baada ya kuona tu wafunga na refa naona ingekuwa dro asinge maliza muda ule ila hart kahelp mbaya..
 
Poleni wakuu hapa ni kwenye CL
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
bw ndechtia kuna kamsemo mancin alikasema kwnye press conf. Leo mchana eti " u cannot win the race usin fiat competin with the guy usin ferrari" hapo alikua anamaanisha et man cty n ferrari sa cjui njia ilikuwa na mashimo kama ya barabara ya tandale au vp naona ferrari imembwela bwna, fiat noma aisee imeibuka kidedea tehe tehe teheee..!
 
nilipo mwona ozil na benzima nikajua kutoka itakuwa ngumu kwa CR7 alikuwa kishakata tamaa na tulipo funga goli la pili wakajua kazi imeisha ila i hope second leg we can do something..
 
Poleni wakuu hapa ni kwenye CL
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee

haya bwana naona ulifurahi sana jana kwani montipellier ndo kwanza inacheza uefa baada ya kupanda daraja na kuchukua legie 1 ila emerate kazi ipo..
 
beko ya man city hovyo kabisa ...kuna maico na kile kijamaa kingine kipya ndo wamei cost team..mzee wangu Mancini hivi ulikosa beki ya maana mpaka ukamlete huyu maicon?i have serious concerns about you Mancini
 
maicon alichezeshwa na bale 2yrs ago leo hii ndio left back wa man city...pale ni kiraka... lakini all in all they played well..hawana tu experience man city ingekua chelsea wako 2-1 up wangeshinda maana wale wanajua ku shut up shop...wanaweka basi golini hafungi mtu
 
Dah Mourinho kiboko kwa kuchonga,aliwaambia kabla man city kuwa utajiri hauwezi kununua historia na rekodi,mimi na champions ligi 2,real 9,endapo ntawin itakuwa 10 kwa real madrid 3 kwake lol,kweli anajiamini,berenebeu ni barca ndio ana uwezo wa kushinda pale kwa sasa hakuna mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…