The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Netherlands: Nathan Ake

Nathan Ake is a part of the Netherlands squad for their World Cup qualifiers vs Norway, Montenegro, and Turkey. The Oranje are looking to bounce back from being dumped out of EURO2020 by the Czech Republic.

Fixture Details:

Sept 1nd | Norway vs Netherlands | 19:45 GMT

Sept 4th | Netherlands vs Montenegro | 19:45 GMT

Sept 7th | Netherlands vs Turkey | 19:45 GMT
 
Manchester City itaongeza mara nne mshahara wa mchezaji wa England Phil Foden mwenye umri wa miaka 21 wakati wanatafuta kumfunga kilabuni hapo kwa kumpa mkataba mpya. (Star)
 
Yani nyie matakataka tunajua ni jinsi gani munaogopa kukutana na Chelsea. Yani munatamani hata Chelsea ihamishiwe ispania Uko au italia ..lakini sisi tutaendelea kuwala hadi mjue ya kuwa mkubwa ni mkubwa tu na hapingwi wala hapangiwi.
CFC
 
Huu ni msimu mpya ,so wait and see...

Pimbi wewe
 
Ederson amepigwa ban ..

Steffan ana covid 19..

Atadaka Scot kwenye game na lecister city ...

Hii ni challenge kubwa ,let us seee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…