Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tulikuwa tunamtaka Kane ,biashara imeenda vibaya ...Mpaka sasa naifuatilia kwa karibu hii timu, sijaelewa kwa nini haijafanya replacement ya aguero.
Phillips yupo vizur sanaa ....!Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola anaitaka klabu hiyo kumsaini kiungo wa kati wa Leeds na England Kalvin Phillips, 25, msimu ujao
tim ya kifala ii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]3-1
HT
Watu wamekula mvua 😄😃😃😃,eshima kwa Pep🙏🙏Moto umewaka hatari.Leipzig wanachochea hatari