Mkuu tulikuwa tunamtaka Kane ,biashara imeenda vibaya ...Mpaka sasa naifuatilia kwa karibu hii timu, sijaelewa kwa nini haijafanya replacement ya aguero.
Phillips yupo vizur sanaa ....!Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola anaitaka klabu hiyo kumsaini kiungo wa kati wa Leeds na England Kalvin Phillips, 25, msimu ujao
tim ya kifala ii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]3-1
HT
Watu wamekula mvua ππππ,eshima kwa PepππMoto umewaka hatari.Leipzig wanachochea hatari