The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Pep analaumu kuwa mashabiki wa city hawataki kuja uwanjan ,amesahau kuwa amepoteza final kizembe kabisa mbele ya vibonde Chelsea ......!!!


ile final ya CL ilikuwa inaenda kubadilisha atmosphere ya Etihad

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kubalini tu Man shity ni timu ndogo haina Fan base kubwa
 
Akitoka pep nani ataenda kuwa kocha hapo?

Hamuoni at least amejaribu
 
Akitoka pep nani ataenda kuwa kocha hapo?

Hamuoni at least amejaribu
Usifikili monsour ni sawa na hao wawekaza wa arsenal ,hawezi sajili makocha average wakati ...

Conte yupo ...

Zidane yupo ...

But siombei pep kutoka ,japo IPO siku atatoka ...




Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Pep kanyoosha mtu goli 6 ...


Namkumbuka tu ,hio timu ilishawahi kumtoa man utd CL na kumpeleka Europa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We kiumbe umejificha wapi?

Ebu njoo huku uone aibu ya mwaka.

FT Man City 0 - 0 Southampton.

Statistics "No shot on target" [emoji28]
 
Man shit is always a shit, mavi lazima yawe mavi tuu hayawezi kuwa cake.
 
ii tim inachojua n connection2 amna kingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pound 100 mmepigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…