Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Anfield sio sehemu ya kutisha tena ,subili uone pep atakacho fanya ...Tangu Pep aje EPL Anfield ameshinda Mara moja tu tena msimu uliopita tena alikutana na Liverpool B yenye injuries na uwanja usio na mashabiki. Anfield anapaogopa kuliko uwanja mwingine wowote duniani
Hapa mtadroo na Cheltako, mtawafunga PSG na mtakula kichapo kitakatifu Anfield
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]wewe subili siku inakujaKwann adraw na Chelsea? Unafikiri Chelsea ndiyo hawataki ushindi mbele ya City? Atakae shindwa mbinu atachakazwa kisawa sawa.
Hapa mtadroo na Cheltako, mtawafunga PSG na mtakula kichapo kitakatifu Anfield
Unapangia timu zingine kutoa draw na ya kwako unaipangia ushindi ..kweli wewe ni kuku, kila timu ishinde mechi zake tukutane May 2022Hapa mtadroo na Cheltako, mtawafunga PSG na mtakula kichapo kitakatifu Anfield
Unapangia timu zingine kutoa draw na ya kwako unaipangia ushindi ..kweli wewe ni kuku, kila timu ishinde mechi zake tukutane May 2022
Angalia hii takataka.. Umasahau vile vipigo mkuu?Hope tunaenda kuvunja like daraja la Stamford bridge ..,!
Keep watching
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Usiende na matokeo mfukoni kama Jana utaaibika tu.Hiyo droo tena nimewapendelea mtachapika ila mimi nitapendelea droo zaidi
This is new season ,unaleta Mambo ya nyuma kwenye game ya weekend hii ...Angalia hii takataka.. Umasahau vile vipigo mkuu?
Tunakwenda kukupiga mara ya nne kunguni wwMkuu hilo tatizo limetukosesha CL mbele ya wale vibonde wa darajan ,siiamin kabisa Kama Chelsea wangeweza kutufunga mara tatu mfukulizo ....
Pep overthinking problem
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sawa ,..!Tunakwenda kukupiga mara ya nne kunguni ww