The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tangu Pep aje EPL Anfield ameshinda Mara moja tu tena msimu uliopita tena alikutana na Liverpool B yenye injuries na uwanja usio na mashabiki. Anfield anapaogopa kuliko uwanja mwingine wowote duniani
Anfield sio sehemu ya kutisha tena ,subili uone pep atakacho fanya ...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Timu zote za kutoka Manchester zimeshindwa kifua dafu mbele ya South Hampton ..takataka nyumbu lilitowa draw na ninyi matakataka mumefata umo umo
 
Hapa mtadroo na Cheltako, mtawafunga PSG na mtakula kichapo kitakatifu Anfield
Hapa mtadroo na Cheltako, mtawafunga PSG na mtakula kichapo kitakatifu Anfield
Unapangia timu zingine kutoa draw na ya kwako unaipangia ushindi ..kweli wewe ni kuku, kila timu ishinde mechi zake tukutane May 2022
 
.
mancity-20210920-0001.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo droo tena nimewapendelea mtachapika ila mimi nitapendelea droo zaidi
Unapangia timu zingine kutoa draw na ya kwako unaipangia ushindi ..kweli wewe ni kuku, kila timu ishinde mechi zake tukutane May 2022
 
Ilkay Gundogan joins Man City's growing injury list with John Stones, Aymeric Laporte, Rodri and Oleksandr Zinchenko also out ahead of daunting trips to Chelsea, PSG and Liverpool.[emoji102][emoji102]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Gundogun injury[emoji848]

Laporte injury[emoji848]

Stone injury[emoji848]

Zincheko injury[emoji848]

Rodri injury [emoji848]

Hawatakuwepo kwenye game ya Chelsea ,psg na Liverpool...!
 
Back
Top Bottom