The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mkuu hilo tatizo limetukosesha CL mbele ya wale vibonde wa darajan ,siiamin kabisa Kama Chelsea wangeweza kutufunga mara tatu mfukulizo ....


Pep overthinking problem

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Kati ya timu ambayo siogopi kabisa kukutanayo ni pamoja na man city. Man city ilikuwa enzi za tevez na yahya Ture. Hawa vijana wameifunga chelsea sana.

Lakini hii ya Beki Dias[emoji38][emoji38][emoji38] Subiri tu
 
Hakuna Raha hapa duniani Kama kuvunja like daraja la Stamford bridge ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…