The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.
mancity-20210921-0004.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hilo tatizo limetukosesha CL mbele ya wale vibonde wa darajan ,siiamin kabisa Kama Chelsea wangeweza kutufunga mara tatu mfukulizo ....

Pep overthinking problem

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Kati ya timu ambayo siogopi kabisa kukutanayo ni pamoja na man city. Man city ilikuwa enzi za tevez na yahya Ture. Hawa vijana wameifunga chelsea sana.

Lakini hii ya Beki Dias[emoji38][emoji38][emoji38] Subiri tu
 
Back
Top Bottom