The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Haya makombe ya mbuzi kumtumia De Brune ni Matumizi mabaya. Hichi ndo kinamfelisha Pep kwa mashindano makubwa
kdb hakuwa fit ,kwahiyo hiyo match imempa fitness kwa ajili ya kuvunja like daraja la london [emoji3526][emoji3526][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waurudishe kwenye sticky thread uzi wetu wa betting na hizi timu zisizo na mashabiki nyuzi ziondolewe kabisa PSG na Man City.
 
Tunaomba leo usikimbie uzi kipigo kinakusubili kwa aina ya uchezaji wenu ni ngumu kupata matokea dhidi ya Chelsea, teams pekee zinazomsumbua Chelsea ni zile zinazocheza defensive only.
Sawa ,kwa hiyo leo mtatufunga goli ngapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Benardo siku hizi yupo hot ,kwa kikos Cha leo ,labda iwe siku mbaya tu kwetu ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…