Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Pep,kama alikuwa kwenye mazoezi, stamford bridge 😁😁😄😄Sio kufundisha tu na kuvunja daraja la Stamford bridge
Kwa wanaoangalia mpira tu ndio watajua kuwa ,mmekuwa mkitufunga kwa bahati tu ....Tushajipigia Sana nyinyi Kwa hiyo nyie ndo vilaza kwetu zaidi
Hizi unadhani sisi tumeumia kama ilivyokuwa nyie kule ureno?T
Tatizo ni tambo zenu,eti chelsea ni anbeeten,leo mpaka aibu asee
Siyo Ureno tu Kaka, FA, out, EPL kipigo yani ndani ya wiki 2 mtu kala kipigo cha mmbwa koko mara 3 mfululizo [emoji2960][emoji16]Hizi unadhani sisi tumeumia kama ilivyokuwa nyie kule ureno?
Huo ufundi wenu ulikuwa wapi kwa Tottenham na Southampton tena hadi mkawanyima penalty ya wazi kwenu Etihad? [emoji28]Pep fundi hasee,Lukaku kapigwa pini mpaka haibu, Cheese kazidiwa kila kitu,Pep kaenda kuwafundisha mpira darajani[emoji16][emoji1][emoji16][emoji3]
Acha wajifariji leo hawa Kunguni.Siyo Ureno tu Kaka, FA, out, EPL kipigo yani ndani ya wiki 2 mtu kala kipigo cha mmbwa koko mara 3 mfululizo [emoji2960][emoji16]
Siyo Ureno tu Kaka, FA, out, EPL kipigo yani ndani ya wiki 2 mtu kala kipigo cha mmbwa koko mara 3 mfululizo [emoji2960][emoji16]
Mnachaza mpira wa kizaman mzee ,....Siyo Ureno tu Kaka, FA, out, EPL kipigo yani ndani ya wiki 2 mtu kala kipigo cha mmbwa koko mara 3 mfululizo [emoji2960][emoji16]
Leo pep kawapelekea Moto mnaanza kujifaliri na yaliyopita ,,,...Acha wajifariji leo hawa Kunguni.
We ropoka tu mbele ya Mabingwa wa Ulaya ilihali hauna hata kakombe ka UEFA ka1[emoji2]Mla kala leo mzee uwezi kuwa na njaa leo alfu ukajitamba ooh hata hvyo jana nilikula
Bado huna cha kunitisha.... we wa kawaida tu... ndo maana totte alijipigia.Leo pep kawapelekea Moto mnaanza kujifaliri na yaliyopita ,,,...
Mimi nasemaga siku zote ,hawa underdog Chelsea hawana uwezo wa kuifunga city ,mnabahatisha tu ....
Endelea kuteseka, we mwenyewe ulitakiwa ubadilike dhidi ya Tottenham na Southampton [emoji56][emoji1732][emoji1787]Mnachaza mpira wa kizaman mzee ,....
Huyo TT abadilike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na sisi tumekupiga ...Bado huna cha kunitisha.... we wa kawaida tu... ndo maana totte alijipigia.
Sis tulitaka kuwaonesha kuwa ,nyie ni vibonde tu ,...Endelea kuteseka, we mwenyewe ulitakiwa ubadilike dhidi ya Tottenham na Southampton [emoji56][emoji1732][emoji1787]
Ukiona mwanao anakuletea matokeo ya mitihani ya mihula ya nyuma na kuficha ya wakati uliopo, huyo toto jinga chalaza bakola za kutosha ili akawasimulie na wenzake.Champions of Europe View attachment 1952606
Vitimu kama southampton mifumo yao haileweki,vyenyewe vinakamia timu kubwa kutafuta sifa tu,ndio maana vinamshida PepHuo ufundi wenu ulikuwa wapi kwa Tottenham na Southampton tena hadi mkawanyima penalty ya wazi kwenu Etihad? [emoji28]