The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Bernado Silva ni mapafu ya mbwa huyu mwamba ,[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
 
Dias ,kamficha lukaku
mancityzenscom-20210925-0001.jpg
 
Tushajipigia Sana nyinyi Kwa hiyo nyie ndo vilaza kwetu zaidi
Kwa wanaoangalia mpira tu ndio watajua kuwa ,mmekuwa mkitufunga kwa bahati tu ....


Na mnampira wa kizaman Sana,wa kupaki Basi na kusubili like pipa lenu kufunga kudadekiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Pep kawapelekea Moto ,...


This is our city
 
Pep fundi hasee,Lukaku kapigwa pini mpaka haibu, Cheese kazidiwa kila kitu,Pep kaenda kuwafundisha mpira darajani[emoji16][emoji1][emoji16][emoji3]
Huo ufundi wenu ulikuwa wapi kwa Tottenham na Southampton tena hadi mkawanyima penalty ya wazi kwenu Etihad? [emoji28]
 
Siyo Ureno tu Kaka, FA, out, EPL kipigo yani ndani ya wiki 2 mtu kala kipigo cha mmbwa koko mara 3 mfululizo [emoji2960][emoji16]
Mnachaza mpira wa kizaman mzee ,....


Huyo TT abadilike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo pep kawapelekea Moto mnaanza kujifaliri na yaliyopita ,,,...


Mimi nasemaga siku zote ,hawa underdog Chelsea hawana uwezo wa kuifunga city ,mnabahatisha tu ....
Bado huna cha kunitisha.... we wa kawaida tu... ndo maana totte alijipigia.
 
Bado huna cha kunitisha.... we wa kawaida tu... ndo maana totte alijipigia.
Na sisi tumekupiga ...


0 .0000 shot on target ..


Lukaku ana -2 shots on target ..

Kiufupi hakuna mliokuwa mnafanya uwanjna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Endelea kuteseka, we mwenyewe ulitakiwa ubadilike dhidi ya Tottenham na Southampton [emoji56][emoji1732][emoji1787]
Sis tulitaka kuwaonesha kuwa ,nyie ni vibonde tu ,...

Muache kucheza ma mipira ya kizamani ,ya kuviziana ...


We press ,and win the game while fuvckin Chelsea parking bus [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom