Kafanya timing nzuri sna, Bila yeye ile ilikuw kamba mzee...Rodri sio poaa ,bonge la tackling[emoji23][emoji23][emoji23]
Ww umefungwa mechi ngap na city.?Mpaka nyie ni wachumba kwetu maana tunawadai game tatu na mumesharudisha moja.
CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Comment fupi fupi zitoke wapi mzee.? 😂😂Sterling na bernado wanatishia kuondoka .....
Vipi tuuze au tusiuze Nani abaki hapo ...
Comment fupi fupi
Kama hizi zako..!Comment fupi fupi zitoke wapi mzee.? [emoji23][emoji23]
Man utd wanazidi kumfuata huko chini arsenalCc majogoo na nyie citizen mdio tunapambana kunyanyua kwapa. Wale ndezi maji united pumzi zishakata. Chelsea wao wanajaribu kurusha miguu soon nao watakuwa wasindikizaji.
Bernado yupo Moto !!!Bora aondoke kiberege B s ' abaki
Hapo Kwa Chelsea umeongea pumba Chelsea hatuzuilikiCc majogoo na nyie citizen mdio tunapambana kunyanyua kwapa. Wale ndezi maji united pumzi zishakata. Chelsea wao wanajaribu kurusha miguu soon nao watakuwa wasindikizaji.