The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

shabiki wa uu uzi tuna mashaka na umri wako sio bure[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
laughing_at.city-20210918-0001.jpg
 
#StarBoyFoden....Served the 1st equalizer. And was Named MAN OF THE MATCH(MOTM) at #AnfieldBattle

ffabed57-83e4-4b1c-beb5-bbcaa38b536d.jpg


fffe6414-8d07-41da-bc6f-56da1c9feb92.jpg
 
Premier League wanakwambia #BernadoTheBaller!!! After the #MarvellousDribbling at #AnfieldBattle against #Fabinho_Hendo_VanDijk_Andy

0171daa5-0e54-4a26-8a1a-4b67dcc5c3a3.jpg

0a125e73-9010-4576-9e2e-8928b5a32101.jpg



ManCity wamemwita #BubbleGum...!

e0f2bd63-f375-4f62-a345-8d04d606d71d.jpg



Ukiangalia vizuri utagundua wenzetu, ukifanya kitu kizuri wanasupport, wale Spectator kwenye majukwaa ya Anfield baathi walipiga makofi kufurahia show ya bernado...watch the clip with no comentator voice.
 
Mpaka nyie ni wachumba kwetu maana tunawadai game tatu na mumesharudisha moja.
CFC💙💙💙
 
Sterling na bernado wanatishia kuondoka .....

Vipi tuuze au tusiuze Nani abaki hapo ...


Comment fupi fupi
 
Cc majogoo na nyie citizen mdio tunapambana kunyanyua kwapa. Wale ndezi maji united pumzi zishakata. Chelsea wao wanajaribu kurusha miguu soon nao watakuwa wasindikizaji.
 
Back
Top Bottom