The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Jana nilibanwa aisee sikuaangalia match yetu ,kumbe tumepiga mtu goli Saba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sijui kwanini hii game pep kaiua kirahisi hivi .....


Chelsea walistraggle kupata matokea kwa leeds ,ila sisi tumejipigia kama tunacheza na gwambina[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Next ni Newcastle ,but Kama tukiwa serious this will be easy game kabisa na kuchukua point 3 ....

Saizi kila mchezaji ana winning mentality ,.....

Mhimu ni kushinda kila match ,maswala ya kusubili timu flani ifungwe ndio tupate ubingwa yashapitwa na wakati ...

We go
 
KDB jana alishow #MasterCLASS na Mahrez alishow #PureCLASS...ona mahrez anavyotabasam apo nyuma ya KDB, Hapa angekuwa comentator ni peter drury ungesikia Oooh!...JOYFUL RIYARD AND THAT'S MAHREZ WE SHOULD ALWAYS SEE.
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sijui kwanini hii game pep kaiua kirahisi hivi .....


Chelsea walistraggle kupata matokea kwa leeds ,ila sisi tumejipigia kama tunacheza na gwambina[emoji28][emoji28][emoji28]
Pep ni kocha haswaa na anawachezaj sahihi wanaoendan na mfumo wake wala usiulize kaimalizaje ile game ya jana maan kila mtu ameona...na nachomkubali uyo jamaa pamoja kuwa na PROFILE KUBWA SANA KATIKA CAREER YAKE HUWA HAJALI ATA AKIKOSAGA VITUZO VYAO VYA UKOCHA UCHWARA VILE VYA UEFA NA FIFA....yeye moto wake ni uleule.
 
Sitasahau ile game last season yaan leed walikuwa na red card bado wakatufunga aisee....

Nadhan ndio kipind pep alianza kumchukulia bielsa serious ..

Last season tuliambulia point 1 tu ,ndio maana game ya Jana Toka kwenye press pep alionesha kumheshimu Marcelo bielsa ,na game ikawa rahisi kabisa ...

Hawa leeds walimkazia Chelsea hatari ,kupata goli 7 kwao si simple kabisa ..
 
Jack alikuwa anaandamwa Sana kuwa tumejasili £100million kukaa bench ....

Mimi nakwambia grealish atakuja kuwa Moto ,this season kaanza slow ,nadhan Bado anatengeneza patttern nzuri na wachezaji ...lakin Bado yupo vzuri kabisa jack tumpe muda ....

Insta nilikuwa nikiingia kwenye page ya city kwenye comment maraa ohh plealse sell jack in January...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…