Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Jana nilibanwa aisee sikuaangalia match yetu ,kumbe tumepiga mtu goli Saba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KDB jana alishow #MasterCLASS na Mahrez alishow #PureCLASS...ona mahrez anavyotabasam apo nyuma ya KDB, Hapa angekuwa comentator ni peter drury ungesikia Oooh!...JOYFUL RIYARD AND THAT'S MAHREZ WE SHOULD ALWAYS SEE.
huwa inapendeza mwizi anapokimbizwa kimyakimya mzee!Wala hata haturingi
hiyo niliona jana walipost kabla ya game kwamaana hiyo baada ya game atakuwa amefikia GOALS-507 record na hapo ata nusu ya total games 38 2021/2022 bado
[emoji28][emoji28][emoji28]KDB jana alishow #MasterCLASS na Mahrez alishow #PureCLASS...ona mahrez anavyotabasam apo nyuma ya KDB, Hapa angekuwa comentator ni peter drury ungesikia Oooh!...JOYFUL RIYARD AND THAT'S MAHREZ WE SHOULD ALWAYS SEE.
Pep ni kocha haswaa na anawachezaj sahihi wanaoendan na mfumo wake wala usiulize kaimalizaje ile game ya jana maan kila mtu ameona...na nachomkubali uyo jamaa pamoja kuwa na PROFILE KUBWA SANA KATIKA CAREER YAKE HUWA HAJALI ATA AKIKOSAGA VITUZO VYAO VYA UKOCHA UCHWARA VILE VYA UEFA NA FIFA....yeye moto wake ni uleule.Sijui kwanini hii game pep kaiua kirahisi hivi .....
Chelsea walistraggle kupata matokea kwa leeds ,ila sisi tumejipigia kama tunacheza na gwambina[emoji28][emoji28][emoji28]
Sitasahau ile game last season yaan leed walikuwa na red card bado wakatufunga aisee....Pep ni kocha haswaa na anawachezaj sahihi wanaoendan na mfumo wake wala usiulize kaimalizaje ile game ya jana maan kila mtu ameona...na nachomkubali uyo jamaa pamoja kuwa na PROFILE KUBWA SANA KATIKA CAREER YAKE HUWA HAJALI ATA AKIKOSAGA VITUZO VYAO VYA UKOCHA UCHWARA VILE VYA UEFA NA FIFA....yeye moto wake ni uleule.