The Manchester City (The Citizens) | Special Thread


YES!...the city is OURS.
 
WANGEMJENGEA STARTURE YAKE PALE ETIHAD KAMA KINA VICENT NA SILVA INGEPENDEZA SANA.
 
WANGEMJENGEA STARTURE YAKE PALE ETIHAD KAMA KINA VICENT NA SILVA INGEPENDEZA SANA.
 
Mkuu kumbe unatamani kushinda CL namna hii. Subiri uwezo wako bado mdogo kubeba lile Kombe. Unajua hata sehemu ya kuitunza hamna. [emoji28][emoji28][emoji28]

Jengeni kwanza sehemu ya kuifadhi lile kombe then ndiyo muanze kuliwaza. Kwasas bado ni watoto hamna uwezo huo[emoji23][emoji28][emoji28]

Nakumbuka uliwahi kusema kwa sasa hamna haja nalo vipi imekuaje unalitamani tena?[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hapa nakupa big up hujaongopea hata neno moja. Ila mwisho umemaliz vibaya[emoji3][emoji3]

Hii mechi niliutazama mwanzo mwisho na zote zilikuwa zinaoneshwa live upende wa City na Man u. Hii mechi nilitazama nikiwa Dodoma pale oposite na jengo la NHIF kulikuwa na Pup moja hatari sijui kama pub ile bado ipo.

Mechi zote zilikuwa za kusisimua aisee. Ukizingatia mpaka dakika ya 85 bado QPR anaogoza kwa upande wa Man u pia anaongoza. [emoji3][emoji3][emoji3]

Siku ile hata mimi nilikuwa upende wenu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3]
 
Mkuu kwenye dressing rooma nadhani pep hawezi kosa maneno ya kuwambia wachezaji wetu hasa linapokuja swala la CL ,kuhusu epl unaweza kosa namna ya kuwashawishi kwani wamenyanyua Sana,ila likija swala la CL ,kila mchezaji anatamani medal ile ....ukiangalia kwa kiasi kikubwa hakuna mchezaji ambaye kashachukua ...!

But Historia ya CL inajieleza ,huwezi fika kwa mara ya kwanza final na kubeba hapo hapo ,unless uwe unacheza na timu ambayo haijawahi kubeba ...
 
Mzee Mimi hii game niliangalia kila tukio uwanjan ,hapo ndioo DNA za man city zilianza kuniingia ,...!
 
Mzee Mimi hii game niliangalia kila tukio uwanjan ,hapo ndioo DNA za man city zilianza kuniingia ,...!
Kabla ya DNA za man city kukuingia hiyo 2011 Ulikuwa unashabikia timu gani Yani Ulikuwa na DNA ya timu gani?
 
Kabla ya DNA za man city kukuingia hiyo 2011 Ulikuwa unashabikia timu gani Yani Ulikuwa na DNA ya timu gani?
Mwaka 2011 nilikuwa form one ...kiufupi ndio nilikuwa na akili ya kuaanza kufuatilia mpira ,wakati Niko primary sikuwahi kufuatilia mpira zaidi ilikuwa movie tu ,tena za kihind ,enzi hizo koyla ,Krish ,Karan na arjun ,yaan ulikuwa huwezi nambia kitu cha burudani zaidi ya movie ........,Sasa baada ya kuaangalia hio game nilikuwa na mshikaji wangu anaitwa peter ,alikuwa anamkubali Sana ballotel kisa alikuwa mhuni na mkorofi kama yeye ,na alikuwa nigga kipindi hicho ,mpaka saizi peter anamalizia MD pale bugando na nishabikie wa city hatari kila siku status anatupia magoli ,highlight na habari zote za city ,na Mimi nilianza kumpenda ballotel ,teves ,aguero ,mpaka tukiwa tunacheza mpira form one ulikuwa huwezi nambia kitu kwa aguero .....!

Harafu kuna rafiki yangu alikuwa anawapenda psquare ,anadance kawa wao,alikuwa anajiita Scott ,aisee huyu ndio alinipa unyama zaidi kuhusu man city ,na alizidi kunifanya kuifuatilia city kuliko timu yeyote ,sijajua mpaka saizi Yuko wapi Scott [emoji28][emoji28][emoji28]...

Aisee Mimi nimeanza kushabikia mpira city ndio anadomanite league ,na nilizungukwa na jamaa zangu wanaoipenda city ,...Sasa ilikuwa ngumu Sana kuaanza kuipenda sijui united ,Liverpool sijui arsenal ....


Over
 
Dah!...issue ya aguero imewagusa wengi wanasoccer na wafuataliaji wa soccer kwa ujumla ikiwemo wachezaji wenzake, watu maarufu na vilabu mbali mbali duniani.



















finally!...the CITY wamepost na jamaa kapokea asante yake.
 
Nayeye akawapostia watu wote kwa ujumla MANENO YENYE UJUMBE MZITO KWA KILA ALIYEGUSWA!!!










 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…