The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mimi timu yangu hata ukiijua haitakusaidia.

Maana nilishakubamiza fainali ya UEFA. Kwa hiyo huna cha kuniambia saivi.
Hahahaha nilijua tu. Chelsea mnateseka. Mlivyoshushwa tu, mkachanganyikiwa. Kocha wenu tapeli, et natengeneza timu Italia inaogopwa na kila timu
 
Hahahaha nilijua tu. Chelsea mnateseka. Mlivyoshushwa tu, mkachanganyikiwa. Kocha wenu tapeli, et natengeneza timu Italia inaogopwa na kila timu
Wewe hamna jipya....

Maana Tuchel alishakunyoosha.

Hivi unajisikiaje mtu alikupiga mara tatu na akabeba kombe mbele yako.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…