The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Naona wametuletea vibonde Tena .....wanataka city ,Chelsea au Liverpool kufika final ...
mancity_mcfc-20220206-0001.jpg
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] dah uzii huu unachekesha kweli ndo maana pain killer unatqngatanga kwenye nyuzi za watu yani unajichekesha mwenyewe huku.
 
kama ujabeba ii jipige kifua sema tofaut yako na mwadui ni rangi ya jersey
IMG-20220212-WA0023.jpg
 
Back
Top Bottom