Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Jamaa bado ni mchezaji muhimu pale City.Nimefurahi Sterling kafunga
Mimi naona goli la pili la bernado ni moto ...Jamaa bado ni mchezaji muhimu pale City.
Goal lake ndio best kwa usiku wa leo...
5g ,jamani Pep ni Mtu na nusu π€£π€£π€£4-0
Bernado
Timu imejaa wachezaji ma-handsome...
Timu imejaa wachezaji ma-handsome...
eeeh unaanza kusifia wanaume wenzako ma handsame[emoji15]