The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Daaa defence yetu ni ya hovyo Sana ....dias ,walker ,Laporte Sio solid Tena ....yaani tunamenyeka kirahisi mno .....

Kwa style hii wacha tu tuendelee kuisindikiza Liverpool UEFA
 
Tumefungwa lakin Bado tunaongoza league mamaeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnaokuja huku hakikisha mpo juu yetu ,vinginevyo tulizeni makalio [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tulishawahi kukimbizana kwa point moja ,sembuse point 3 .....

Game yetu na Liverpool itakuwa kama final ....

Let's go ....
 
Daaaa Leo kichwani sipo sawa ,nimepigwa na kitu kizito ,natamani hata nibugie nyagi moja nizime niamke kesho ....!
 
Kwanini team yote inashambulia na kuacha space nyuma kubwa ,mbaya zaidi ....defence yetu ikirudi nyuma Haina umakin shitt[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Niliwaambia mapema sana kama bingwa EPL ni Liverpool lkn mkanicheka!
Huwezi ukachukua EPL kwa kushinda kiujanja ujanja tu
Ubingwa nauchukulia Itihad,nakupiga hauna beki ya kuzuia akina Mane
 
Tulishawahi kukimbizana kwa point moja ,sembuse point 3 .....

Game yetu na Liverpool itakuwa kama final ....

Let's go ....

Mane
Salah
Diaz
Jota
Firmino
Bado unaota kama Itihad itakua kama final?
wakati tunakutana tayari upo nyuma points 6+ na hiyo ya Itihad ndiyo Liverpool anapewa kombe lake
 
Matakoh nyie pamoja na kuhonga refa dakika 9 za bure mmeongezewa bado mmekobolewa nyuma leo, na nyie leo msikie maumivu ya kukobolewa nyuma mambwa nyinyi.
Nimeanza kuhisi kuna figisu ili City ishinde pale inapoonekana maji yamezidi unga. Dk huwa zinaongezwa nyingi

Mechi ya UCL final, ziliongezwa dk 7, mchongo ulikwama.

Mechi ya jana vs Spurs, ziliongezwa dk 7, dk ya 90+2 wakasawazisha kilichofuata ni kuangukiwa na kitu kizito kichwani.
 
Mzee jana tumefungwa ila Bado umakaza fuvu eti tunapendelewa ,uko na akili timamu kweli[emoji22][emoji22][emoji22]
 
Mane
Salah
Diaz
Jota
Firmino
Bado unaota kama Itihad itakua kama final?
wakati tunakutana tayari upo nyuma points 6+ na hiyo ya Itihad ndiyo Liverpool anapewa kombe lake
Liverpool akicheza game zake ,Bado tutakuwa tunamzidi point 3....hata akija kutufunga Etihad Bado tutakuwa tunamzidi goal GD .....kiufupi Bado tutakuwa at the top [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee jana tumefungwa ila Bado umakaza fuvu eti tunapendelewa ,uko na akili timamu kweli[emoji22][emoji22][emoji22]
Ndio mumefungwa, ila hizo dk 7 za nyongeza zilikuwa na lengo la msawazishe ambapo kweli mlisawazisha dk ya 90+2, na kama msingeotewa, mngeondoka na draw au mngeshinda kabisa kama mngekaza
 
Ndio mumefungwa, ila hizo dk 7 za nyongeza zilikuwa na lengo la msawazishe ambapo kweli mlisawazisha dk ya 90+2, na kama msingeotewa, mngeondoka na draw au mngeshinda kabisa kama mngekaza
Mzee dakika Saba ni kwa muda wachezaji wa Spurs walikuwa wanajiangusha na kupoteza muda ....tatizo lako ñi mihemko tu hakuna kingine kinakusumbua ....
 
Wakati tunakimbiza na Liverpool kwa point 1 ,alikuja Etihad akala kichapo ....sembuse point 3 ,ambapo tukipata hata draw inakuwa utofauti wa point 4 ? Mimi nasema ubingwa bado upo kwetu ...

Keep watching...

Uzuri tumejua udhaifu wetu ,we will bounce back and mantain win situation .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…