The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mzee dakika Saba ni kwa muda wachezaji wa Spurs walikuwa wanajiangusha na kupoteza muda ....tatizo lako ñi mihemko tu hakuna kingine kinakusumbua ....
Tuchukulie kweli ukisemacho.

Je na kwenye UCL final vs Chelsea, ziliongezwa hizo hizo dk 7. Hapo pia kulikuwa na hii sababu?
 
Mzee jana tumefungwa ila Bado umakaza fuvu eti tunapendelewa ,uko na akili timamu kweli[emoji22][emoji22][emoji22]
We tulia na limtungi lako hilo ulilobebea makamasi tele na mijino kama ya chempazee.

Unakataa nini sasa kama Man City hampendelewi nakati kabla ya half time mliongezwa dakika 3, na baada ya dakika 90 ziliongezwa dakika 7, cha kushangaza zaidi mpira ulimalizwa dakika ya 99 + sekunde za kuendelea.

Kwa jinsi ukichaa unavyokusumbua hapa Mirembe unaona kabisa hamkupendelewa?

Kwanza chukua bilauri ya maji 1 unywee hiyo dozi yako ya methadone huenda ukapata hata akili za kuvukia barabara.
 
Wameongeza 7 na ndani ya dakika Saba ,Kuna var review kuhusu penalty ,Kuna goli lilipatikana ,kushangilia na kuweka mpira kati ni wastage of time walizma kufidia ,Kane akafunga ,kushangilia na kuweka mpira kati wastage of time .....Sasa u ashangaa kwanini zilifika 9 ,hivi wewe unaelewa kweli mpira ,au mikeka inakusumbua mzee ....maana hata sielewi unacholilia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee dakika Saba ni kwa muda wachezaji wa Spurs walikuwa wanajiangusha na kupoteza muda ....tatizo lako ñi mihemko tu hakuna kingine kinakusumbua ....
Na ile kadi mliyotoa kwa kipa wa Tottenham ( Hugo Lloris) ilikuwa na kazi gani sasa kama kupendelewa dakika 7 zote kulikuwa hakuna maana na kuzidisha dakika hadi kuwa 9 badala ya 7?

Meza methadone kwanza ili ulale labda utajitambua jinsi gani mahaba yanautesa mtungi wako huo ulilobebea meno ya chempazee na makamasi
 
Kufungwa tumefungwa ,Bora hata tungekuwa time draw au tumeshinda ...Sasa sijui unataka aje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati tunakimbiza na Liverpool kwa point 1 ,alikuja Etihad akala kichapo ....sembuse point 3 ,ambapo tukipata hata draw inakuwa utofauti wa point 4 ? Mimi nasema ubingwa bado upo kwetu ...

Keep watching...

Uzuri tumejua udhaifu wetu ,we will bounce back and mantain win situation .....
Udhaifu wenu ni kununua marefa ili mpendelewe lakini bahati mbaya kuna wakati mpira huamua kama mpira hata kama mbeleko iweje
 
Wameongeza 7 na ndani ya dakika Saba ,Kuna var review kuhusu penalty ,Kuna goli lilipatikana ,kushangilia na kuweka mpira kati ni wastage of time walizma kufidia ,Kane akafunga ,kushangilia na kuweka mpira kati wastage of time .....Sasa u ashangaa kwanini zilifika 9 ,hivi wewe unaelewa kweli mpira ,au mikeka inakusumbua mzee ....maana hata sielewi unacholilia [emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa kichaa, kama VAR na kushangilia ni kupoteza muda itabidi tuiandikie FIFA barua ya kuomba kufuta hivyo vipengele kwenye mechi yoyote ili pasiwepo na mbeleko za kipumbavu kama za Man City [emoji28]
 
Kufungwa tumefungwa ,Bora hata tungekuwa time draw au tumeshinda ...Sasa sijui unataka aje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka umeze methadone ili ukichaa wako utambue kuwa mlipendelewa, maana hakuna timu isiyopendelewa isipokuwa kuna kuzidisha hadi kuboa kama ilivyokuwa kwa Man City jana [emoji2]
 
Hahaaaa sisi ndio the champion mzee , dunia nzima inatazama ...!
 
Liverpool akicheza game zake ,Bado tutakuwa tunamzidi point 3....hata akija kutufunga Etihad Bado tutakuwa tunamzidi goal GD .....kiufupi Bado tutakuwa at the top [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Upo tungi?
GD kati ya Liva na Man City ni goli 2 tu na sisi tuna kiporo na Leeds Jumatano na tunampiga kuanzia 3+ na kukuzidi GD
Lkn kabla ya game na Liverpool ww huwezi toka kwa Man U na Palace na hata Wolves
Hadi tunakutana upo nyuma points 6+
 
Back
Top Bottom