Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tunaongozaNa jukwaa lenu mmekimbia ilipo anza kunyesha mvua?
Ahahaha
Nakuona unavopata maumivu makali hadi kwenye makalio ,sisi wanaume tunachukua point 3 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijui City kimewapata nn jamani,hadi huruma aisee!
Wanashinda kwa kuiba mechi siku hizi wakisaidiwa na waamuzi,hata kwa Arsenal waliiba!
Ile ni penalty halali kabisa.
Kama huwezi mfunga kihalali Everton ndiyo uote kumsimamisha Liverpool huyu?
Nakuona unavopata maumivu makali hadi kwenye makalio ,sisi wanaume tunachukua point 3 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama. Bingwa ni Liverpool chukueni Sasa ....View attachment 2132561
Nipishe mm,huwezi mfunga trash Everton hadi kwa mchongo ndiyo iwe Liverpool hii?
Bingwa ni Liverpool hata ww unajua unajifariji tu
Kama. Bingwa ni Liverpool chukueni Sasa ....
Tushachukua point 3 na hakuna kitu unaweza kutufanya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi hatuna shida na hio CL ,tunanyoosha kwanza hao vibonde wa england mpaka wawe na adabuMan shity mmezoea mdebwedo ndo maana champions League hampawezi
Sisi hatuna shida na hio CL ,tunanyoosha kwanza hao vibonde wa england mpaka wawe na adabu
Hata Mancin alichukua Epl.Lengo la kumpa kazi Pep ni achukue UCL na ndo maana Kila mchezaji anae muhitaji anapewa.Lakiniii wapii!?!?Mpaka Sasa Pep ni failure hapo city EPL hata Pellegrini alibeba kipara aliletwa achukuwe Uefa sio vicarabao cups
Najua unateseka Sana kijana ..this is Manchester city[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hata Mancin alichukua Epl.Lengo la kumpa kazi Pep ni achukue UCL na ndo maana Kila mchezaji anae muhitaji anapewa.Lakiniii wapii!?!?
Uefa ni ya wanaume pekee.
Najua unateseka Sana kijana ..this is Manchester city[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hata Mancin alichukua Epl.Lengo la kumpa kazi Pep ni achukue UCL na ndo maana Kila mchezaji anae muhitaji anapewa.Lakiniii wapii!?!?
Uefa ni ya wanaume pekee.
Najua unateseka Sana kijana ..this is Manchester city[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Soma ubao ,kijana ..Everton wamekata rufaa leo kupinga kupokonywa point yao muhimu!
Ni aibu sana kwa Man City kutegemea refa kumfunga huyu hoe hae Everton!