Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Kihere here chako na kisebengo chogo kama madenge ....unafuata Nini kwenye Uzi wa machampion ...Dah huu uzi ufungwe tu maana umekosa wachangiaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kihere here chako na kisebengo chogo kama madenge ....unafuata Nini kwenye Uzi wa machampion ...Dah huu uzi ufungwe tu maana umekosa wachangiaji
Acha kusikiliza taarab na dada zako, wanakuharibu. Njoo ghetto tukulishe kaya!Kihere here chako na kisebengo chogo kama madenge ....unafuata Nini kwenye Uzi wa machampion ...
Huu ndio Uzi Bora hapa jf ...!Acha kusikiliza taarab na dada zako, wanakuharibu. Njoo ghetto tukulishe kaya!
Kwa vigezo vipi!?Huu ndio Uzi Bora hapa jf ...!
Manchester city ze cityzen
Haina comment za hovyo na matusi....mods wote wapo humuKwa vigezo vipi!?
Haina comment za hovyo na matusi....mods wote wapo humu
Mbona unaijongelesha huku mkuu upo peke yako nini karibu kwenye timu ya furaha duniani ikicheza everyone anakuwa na furaha teleee.Hakuna namna nyingine...zaidi ya point 3
Jamaa unaweza kuwa ndy group admin wa milembe huyuMbona unaijongelesha huku mkuu upo peke yako nini karibu kwenye timu ya furaha duniani ikicheza everyone anakuwa na furaha teleee.
Mkuu united mtatoboa leo?...mbona nimeona kama taarifa mitandaoni kuwa cr7 hatocheza ni kweli?Jamaa unaweza kuwa ndy group admin wa milembe huyu